Welcome message

Welcome, and thank you for visiting our Website. This website is part of our efforts, aimed at bringing the Tanzanian High Commission in London closer to its stakeholders, by providing useful information about Tanzania and the work of the Mission. The purpose of this endeavor is to act as a communication vehicle on the various services provided by the Mission.

It is my hope that the website will also be able to keep the public up to date with the mission’s work, topical issues in Tanzania, news about Tanzanian Diaspora in the UK, key points on consular affairs, trade and investment opportunities and information on the many tourist attractions. You will also find links to relevant institutions and authorities that may be of interest to potential investors, tourist or any person interested in a Tanzanian issue.

 

Our mission has been tasked to essentially promote and enhance the historic relations and links with the people and governments of the UK and Ireland. We equally participate in a growing number of multilateral organizations activities based in London. Increasing we are seeking new and innovative ways of engaging the significant Tanzania diaspora based in the UK and Ireland, believing that they have a positive role in the development of their mother country. Read More>>>>


TANGAZO

Serikali Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania inaandaa mahitaji ya ardhi kwa ajili ya watanzania waishiao nje.  Ubalozi utaratibu zoezi hilo kwa watanzania waishio United Kingdom (UK) na Ireland.

Tunaomba maombi hayo yaainishe Mkoa, Wilaya na aina ya matumizi ya ardhi hiyo kama n makazi, biashara au kilimo. Kama ni viwanja vya makazi mwombaji aeleze ujazo anohitaji.

Maombi yawasilishwe kwa viongozi wa Jumuiya za Watanzania katika miji/ maeneo yenu ambayo watayaleta ubalozini kwa hatua zaidi au unaweza kujiandikisha online kwa kubonyeza hapa>>>>>>>>>>>>

 

Kwa maelezo Zaidi piga simu namba : +44 207 569 1482

***MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 13 JULAI 2015***
 

 

TANGAZO KWA WATANZANIA

TTTP1-401x300

Pasipoti zilizotolewa mwaka 2005 zitamaliza muda wake mwaka huu wa 2015. Fomu za maombi ya pasipoti mpya zinapatikana Ubalozini kwa gharama ya £5. Kwa wale wanaoishi mbali na London au watakaoshindwa kufika Ubalozini, Ubalozi unawaomba watume fedha za Fomu na bahasha iliyolipiwa ( Prepaid envelope) ili watumiwe Fomu kwa njia ya posta. 

Ubalozi unaomba ushirikiano wenu kufanikisha zoezi hili muhimu. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 020 7569 1481 au tuma email: visa@tanzania-online.gov.uk.